Server maintenance in progress. Please bear with us

Taswira ya Gereza Katika Riwaya ya Haini (Shafi Adam Shafi): Uhakiki wa Ki- Foucault

Loading...
Thumbnail Image

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Machakos University

DOI

Abstract

IKISIRI Makala hii inakusudiwa kutalii jinsi gereza ilivyotumiwa kama msingi wa kuendeleza maudhui katika riwaya ya Haini ya Shafi Adam Shafi. Aidha, inapania kudhihirisha jinsi maudhui ya jamii ya kigereza yanavyobainika kuambatana na sifa zinazotambuliwa na Michael Foucault ambaye ni mwasisi wa nadharia ya Ki-Foucault inayoongoza uhakiki huu. Aghalabu msanii wa fasihi huchota malighafi yake kutokana na jamii anamokulia pamoja na tajriba yake inayoongozwa na ubunifu wake. Pia, matukio na asasi mbalimbali za jamii hutoa mchango mkubwa katika kuendeleza maudhui katika fasihi ya Kiswahili. Gereza ni mojawapo ya asasi zinazokuwa chemichemi ya maudhui yanayoendeleza fasihi katika jamii.Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi, yanapofafanuliwa na kueleweka na msomaji, hapo ndipo lengo la mwandishi hukamilika. Katika msingi huu tumedhamiria kuchunguza jukumu la mfumo wa kigereza na athari zake katika jamii kwa kurejerea Haini.

Description

Keywords

Citation

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By