Show simple item record

dc.contributor.authorMuia, Shadrack Tete
dc.contributor.authorMutua, John
dc.contributor.authorMakoti, Vifu
dc.date.accessioned2023-11-24T07:40:24Z
dc.date.available2023-11-24T07:40:24Z
dc.date.issued2023-03
dc.identifier.citationMuia, S. T., Mutua, J., & Makoti, V. (2023). Usawirishaji wa Uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili. Research Journal in African Languages, 4(2). Retrieved from https:// royalliteglobal.com/africanlanguages/article/view/1053en_US
dc.identifier.urihttp://ir.mksu.ac.ke/handle/123456780/18002
dc.description.abstractMakala hii inajadili usawirishaji wa uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawili. Kipengele cha wahusika ni muhimu katika kazi ya fasihi kwani hushirikiana na vipengele vingine vya fani ili kutoa ujumbe wa kazi ya fasihi. Kwa kawaida wahusika hujengwa kisanaa na mwandishi ili waweze kuwasilisha dhana mbalimbali za maisha katika jamii. Kwa hivyo lengo la makala hii ni kuchambua uwashirishaji wa wahusika wakuu katika riwaya za Rosa Mistika ya Euphrase Kezilahabi na Maisha Kitendawili ya John Habwe Kwa kawaida wahusika hujengwa kisanaa na mwandishi ili waweze kuwasilisha dhana mbalimbali za maisha katika jamii. Kipengele cha wahusika ni muhimu katika kazi ya fasihi kwani hushirikiana na vipengele vingine vya fani ili kutoa ujumbe wa kazi ya fasihi. Mwandishi huwajenga wahusika wake kwa kutumia mbinu mbalimbali ili kuwatofautisha na kuiwezesha hadhira yake kutambua sifa za mhusika fulani na kutofautisha na mhusika mwingine katika kazi ya fasihi. Kwa hivyo lengo la makala hii ni kubainisha mfanano wa wahusika wakuu katika riwaya za Rosa Mistika (Euphrase Kezilahabi) na Maisha Kitendawili (John Habwe). Ili kufikia lengo la makala hii tumeongozwa na nadharia ya udhanaishi. Nadharia hii imetuwezesha kubainisha sifa za wahusika wakuu kama zilivyosawiriwa na waandishi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherRoyallite Globalen_US
dc.subjectfanien_US
dc.subjectmbinuen_US
dc.subjectmtindoen_US
dc.subjectsanaaen_US
dc.subjectuhusikaen_US
dc.subjectusawirien_US
dc.subjectwahusikaen_US
dc.titleUsawirishaji wa Uhusika katika riwaya za Rosa Mistika na Maisha Kitendawilien_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record