Show simple item record

dc.contributor.authorMutua, John M.
dc.contributor.authorMogere, Gerald O.
dc.contributor.authorMuusya, Justus K.
dc.date.accessioned2018-10-19T05:58:12Z
dc.date.available2018-10-19T05:58:12Z
dc.date.issued2018-04
dc.identifier.isbn978-9966-117-37-3
dc.identifier.urihttp://ir.mksu.ac.ke/handle/123456780/713
dc.description.abstractIKISIRI Makala hii inakusudiwa kutalii jinsi gereza ilivyotumiwa kama msingi wa kuendeleza maudhui katika riwaya ya Haini ya Shafi Adam Shafi. Aidha, inapania kudhihirisha jinsi maudhui ya jamii ya kigereza yanavyobainika kuambatana na sifa zinazotambuliwa na Michael Foucault ambaye ni mwasisi wa nadharia ya Ki-Foucault inayoongoza uhakiki huu. Aghalabu msanii wa fasihi huchota malighafi yake kutokana na jamii anamokulia pamoja na tajriba yake inayoongozwa na ubunifu wake. Pia, matukio na asasi mbalimbali za jamii hutoa mchango mkubwa katika kuendeleza maudhui katika fasihi ya Kiswahili. Gereza ni mojawapo ya asasi zinazokuwa chemichemi ya maudhui yanayoendeleza fasihi katika jamii.Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi, yanapofafanuliwa na kueleweka na msomaji, hapo ndipo lengo la mwandishi hukamilika. Katika msingi huu tumedhamiria kuchunguza jukumu la mfumo wa kigereza na athari zake katika jamii kwa kurejerea Haini.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherMachakos Universityen_US
dc.subjectRiwayaen_US
dc.titleTaswira ya Gereza Katika Riwaya ya Haini (Shafi Adam Shafi): Uhakiki wa Ki- Foucaulten_US
dc.typeLearning Objecten_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record