Browsing Conferences / Workshops / Seminars by Subject "Kiswahili"
Now showing items 1-5 of 5
-
A Complexity of Kiswahili Pairwise of Verbal Extensions: Algorithmic Approach
(Machakos University, 2018-04)The paper describes semantics architecture of morph pairwise in Kiswahili verbal extensions. Kiswahili morphology is well documented, though semantic descriptions of these morphs are ignored and the theory for handling ... -
Kiswahili na Maendeleo Mashambani Nchini Kenya
(Machakos University, 2018-04)Makala hii itatathmini umuhimu wa lugha (Kiswahili) katika kuchangia maendeleo nchini Kenya. Maendeleo yamejelezwa na wataalamu mbalimbali. Chambers (1997) ameeleza ‘maendeleo’ kwa usahili kabisa kuwa ni ‘mabadiliko ... -
Mchango wa Kiswahili katika Upunguzaji wa Ajali za Vyombo vya Moto Barabarani: Mifano kutoka Madereva wa Magari na Pikipiki Tanzania
(Machakos University, 2019-04)Makala haya yanajadili mchango wa Kiswahili katika kupunguza ajali za vyombo vya moto barabarani. Tangu serikali ya Tanzania iboreshe miundombinu ya barabra baada ya uhuru, mwaka 1961, kwa kutengeneza barabara zenye upana ... -
Mustakabali wa Ufundishaji na Ujifunzaji wa Fonolojia ya Kiswahili kwa kutumia Uwili Lugha katika Elimu ya Juu Tanzania: Mifano kutoka Programu za Uzamili
(Machakos University, 2019-04)Tangu serikali ipanue wigo wa utoaji elimu ya juu Tanzania, hususani elimu ya Chuo Kikuu, kumekuwa na ongezeko la vyuo vikuu vinavyotoa elimu ya Juu. Ongezeko hili limechangiwa na taasisi zisizo za umma kuanzisha vyuo ... -
Translated Kiswahili Texts: A Case Study of Kithaka Wamberia’s Texts.
(Machakos University, 2018-04)Translation is a complex exercise that involves not only transfer of meaning of linguistic aspects of translated texts but more importantly their literary aspects. This means that as Omboga 2006:50 observes a translator ...